Ndiyo..Muachieni mtoto[emoji12][emoji12][emoji12]
HapanaLastborn jeuri kwa wakubwa zake[emoji3] walikuwa hawakutwangi kofi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh?We receive all the remaining love from our parents
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Haki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Terrorists of the house and society[emoji23][emoji23][emoji23]
Waite na wenzio waleView attachment 1384481
Duh, polee dearLast born ina raha kama wazazi wako wapo hai lkn kwa sie tuliopoteza wazazi utotoni hakuna anayetujua ni msoto mwanzo mwisho!
Nitadeka kwa mume wangu [emoji4][emoji4][emoji6]
Mimi siku nisipojisikia kufanya kazi,nalala siku nzima na hakuna chochote wananifanya.Mnadeka sana nyiee, lastborn wetu sasa eti akitoka shule kuingiza ndani viatu vyake vya shule tu eti amechoka dah. Yuko na 5yrs now[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kuwapoteza wazazi utotoni.Last born ina raha kama wazazi wako wapo hai lkn kwa sie tuliopoteza wazazi utotoni hakuna anayetujua ni msoto mwanzo mwisho!
Nitadeka kwa mume wangu [emoji4][emoji4][emoji6]
Wewe ulidekezwa kweli.Mimi siku nisipojisikia kufanya kazi,nalala siku nzima na hakuna chochote wananifanya.
Mama anasema muache mtoto apumzike..Tena anakuja kuniuliza,vipi mama unaumwa?[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Kazi huwa nafanya Sana tu.
Wacha weee!Raha yake tunadekezwa
Hapo sasa!!Sema ukiwa last born bana kila MTU Ana taka kua na maamuzi juu yako kisa ww ni mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Kalikuwa kauni hakaLast born Wetu kalikua kahuni kweli Aisee
Kalikua ikifika Saa 2 usiku kesha lala
Asubuhi ana amka Mapema kuamsha watu kila chumba anaingia
Sasa usimfungulie uone kama hujadekishwa Choo