Uzi wa mafanikio ya Pele, Màradona, Messi na Ronaldinho Gaucho

hahaha hizo stats ulivyozipanga. ungesema pia hayo magoli manne aliyapata hatua za makundi baada ya hapo hakuonekana tena alikua anazurura zurura tu uwanjani.
 
Messi mbona ni mdogo sana kwa wakina pele na maradona!
Ronaldo delima alikuwa noma sana sana, naona kama alistahili kuwepo kwenye hiyo list
 
Bila kumweka CR7- Yanayobaki Yanayobaki ni kama matango mwitu tu!!
CR7- kwa sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote kwenye mashindano rasmi!! Pele ni wa pili!! There is simply no way you can ignore him when talking about successful professional soccer!
 
Ronaldinho ni gwiji wa muda wote linapokuja suala la kuutawala mpira na kuburudisha watu kwenye soka! Hana mfano mpaka kesho!
 
Bila kumweka CR7- Yanayobaki Yanayobaki ni kama matango mwitu tu!!
CR7- kwa sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote kwenye mashindano rasmi!! Pele ni wa pili!! There is simply no way you can ignore him when talking about successful professional soccer!
Bican ndio mfungaji bora muda wote, goli 805 mpaka 820 Inategemea na source, ronaldo ni wa pili sasa hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…