Wadau nadhani wote tunaijua konyagi ilivyo kuwa Kali ukinywa billa kuichanganya na maji lazima itakuangusha kwenye ngazi
Pia ustarabu wa Pombe unaweza kukufanya ukajiona wewe ndio mwamba unaweza kufanya kitu chochote na ndiomana tunaambiwa ukinywa Pombe ukalewa hutakiwi kutembea usiku wa manane sababu Kuna vibaka watakudhuru
Wadau wengine wanasema Pombe Sio chai tuwe Makini