Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Utajiri unaupimaje mkuu, au mtu awe na vitu gani ili awe tajiri? Ili tujijue kama tutoe experience zetu ama tusome experiences za watu[emoji23]
Ok mimi nna akiba ya 50,000/= hapa je ntaingia kwenye list ya mapeshee pia?😂😂Utajiri una maana pana kuna mpaka utajiri wa roho upande wa dini hapa nazungumzia utajiri wa pesa nadhani umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta hiyo 50K tuinywee bia, ili tuanze wote from zero.Ok mimi nna akiba ya 50,000/= hapa je ntaingia kwenye list ya mapeshee pia?[emoji23][emoji23]
😂😂😂 marafiki wa kutumia nyie eti tuanze wote zero😀Leta hiyo 50K tuinywee bia, ili tuanze wote from zero.
Si unajua umoja ni nguvu.
Ok mimi nna akiba ya 50,000/= hapa je ntaingia kwenye list ya mapeshee pia?[emoji23][emoji23]
[emoji3]Mkuu pia we utakuwa tajiriJF wote ni matajiri fuatilia tu nyuzi zao humu utaelewa nachokwambia, ni wewe tu ndo maskini peke yako mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimechoka kuwa kapukuUzi wa matajiri kaanzisha member wa kapuku forums
Sjui Ujasili katoa wapi!!!
Pia na wewe una weza kutoa muongozoNgoja waje kutoa muongozo...
Hapana mimi siyo tajiri pia😀JF wote ni matajiri fuatilia tu nyuzi zao humu utaelewa nachokwambia, ni wewe tu ndo maskini peke yako mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mi wa mwisho kabisa kwenye hiyo list ya matajiri wote wa JF, chini yake ndo upo wewe mkuu so tuko sawa tu hatupishani sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3]Mkuu pia we utakuwa tajiri
Kapuku anahitaji mbinu aachane na ukapukuUzi wa matajiri kaanzisha member wa kapuku forums
Sjui Ujasili katoa wapi!!!