Black Panther X
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 230
- 659
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Pia na wewe una weza kutoa muongozo
Utajiri unaupimaje mkuu, au mtu awe na vitu gani ili awe tajiri? Ili tujijue kama tutoe experience zetu ama tusome experiences za watu[emoji23]
Hiyo picha,jamaa alikuwa mwizi nn?,wamempasua hivyo!...