Aseme tuu huko ndio ataenda kuishi akistaafu maana huyu anayewaza kuzikwa ataishi miaka ya Moi+35Utakuja kupumzika sehemu tulivu kabisa mkuu (kidding) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia picha zoote kwingine kwingi nimepita japo zamani kidogo ila nimegundua mkoa wa Tanga nitarudi tena... Elli niandalie sites na ramani
Utakuja kupumzika sehemu tulivu kabisa mkuu (kidding) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa tena🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️Una bei gani? Nipe kabisa purchasing Order....
Kitochi Original
Naona swalaa la vyomba nalo halikuwa nyuma [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na Rafiki yangu Kaka Robert tunasema tunawapenda sana sana. Muendelee kuwa pamoja nasiView attachment 1360211View attachment 1360213View attachment 1360214
Kitochi Original
Hahah wapi sasaa mkuu, rudi bwana[emoji28][emoji28]Pesa tena[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Wacha nitumie google map
Hapo kwenye kinyonga na nyoka mimi mtanibeba au nitakufaa kabisa hamna wadudu nawaogopa kama hawahuwa napenda kushot viumbe hai hasa wadogo.View attachment 1360215View attachment 1360218View attachment 1360222View attachment 1360225View attachment 1360227
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ananiambia niandae pesa nikaona nikimbie dah
Hapo kwenye kinyonga na nyoka mimi mtanibeba au nitakufaa kabisa hamna wadudu nawaogopa kama hawa
Kuna mtu ananiambia niandae pesa nikaona nikimbie dah
Location Please!
SerengetiLocation Please!