Irente mountain lodge,LushotoWhat a view! Wapi hii chief??
Mafinga mjini mpaka mdabulo gari zipo nyingii Mara ya mwisho nilifika mwaka 2013Kwa public transport inakuaje mkuu?
This is a nice shot
Uchumi ukiwa vizuri na muda wa kuzurura unapungua mkuuMe napenda sana kuzulula sema kikwazo ni uchumi tu Yani. Uchumu ungekuwa mzuri . Tanzania nzima ningekuwa nimefika kila eneo la kuvutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi hii mkuu???
Mafinga mjini mpaka mdabulo gari zipo nyingii Mara ya mwisho nilifika mwaka 2013
Sent using Jamii Forums mobile app
Relief MirzskaIrente mountain lodge,Lushoto
Thanks mkuu.
Wapi hii mkuu???
Irente mountain lodge,Lushoto
We upo wapiI see, shukrani mkuu, nasubiri kama wadau watakaoweza kunisaidia kujua gharama za usafiri latest.
Yeah of course hizi ni seasonal. Sisi watumwa kwa mwaka tunapata mwezi mmoja tu likizo, wiki mbili unasafiri na wiki mbili nyengine unaenda kuwaona wazeeHizo mimi ni seasonally.
Kwamba unakuwa busy muda wote.Uchumi ukiwa vizuri na muda wa kuzurura unapungua mkuu