Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Kabisa.
Sema kwa msimu huu ujao kwetu Malindi hakukaliki, ni baridi sana, sana.
Karibu tena siku ingine ukija nitakupa zawadi ya mboga za majani zinaitwa "mbwembwe" na matunda yanaitwa Mafyoksi..na makakala.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ I will kwakweli nazisubiri hizo "mbwembwe" kwa hamu.

Niliona namna wakina mama wakilima mboga za majani, pilipili hoho na viazi mviringo kwa wingi, inaonekana rutuba ya kule ni nzuri sanaa.
Kule rutuba ni rafiki sana na mazao.
Vitivo vimestawi mno.
Na kuna maji ya kutosha.
I wish ningekuwa nyumbani sahv, niko jikoni nachemsha magimbi huku babu anamkamua ng'ombe maziwa.
Ngoja nitafute picha nikizopiga kwetu nikuoneshe
Beautiful home indeed, share with us, please!
 
Wiki kadhaa nyuma nilikua Ngongoro. It was amazing aseeh sema mimi sio mpiga picha mzuri na picha nyingi nilizopiga kuna sura yangu, ila hizi ni kwa uchache.
 

Attachments

  • 20250111_131849.jpg
    827.5 KB · Views: 2
  • 20250111_125722.jpg
    1 MB · Views: 2
  • 20250111_124515.jpg
    739.3 KB · Views: 2
  • 20250111_101725.jpg
    628.1 KB · Views: 2
  • 20250111_090438.jpg
    879.7 KB · Views: 2
Lushoto view point kule juu Irente nenda mwezi wa 12 ni msimu wa matunda utapapenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…