Habari.
Na imani wote ni wazima wa afya!
Karibu tuzungumze na kuweka matukio (Scenario) ambazo zinauwezekano mdogo kutokea(Probability yake ndogo kabisa) na kama ikatokea basi nini kitafanyika kwa scenario/matukio hayo.
Tuanze:
Scenario 01:
Duniani kote kuwe hakuna migogoro yoyote kama ya kung'ang'ania madaraka kwa viongozi.
Scenario 02:
Binadamu asipende na asiwe mtegemezi wa kutafuta pesa.
Scenario 03:
Kiongozi mkubwa wa serikali kugonga police wa barabarani.
Karibu weka scenario za kufikirika zaidi.
Nawasilisha
Cc: Kichwa Kichafu