Uzi wa mialiko ya X mass na mwaka mpya

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa.

Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na mwaka mpya basi amtag hapa ili kumpa invitation, siku ya siku cha mtume kifinywe.. πŸ˜€πŸ˜€

Acheni hizo.
Mimi na mywangu Hannah tunawaalika wote pia...
 
Nimeona hiyo X nikamkumbuka X wangu ambae alikuwa mpole sana kitu ambacho kwenye mchezo nilikuwa namgeuza geuza ninavyotaka.I love her so much.
 
Nakuja nakuja
Wozaaaaaaa πŸ€ΈπŸΌβ€β™€οΈπŸ€ΈπŸΌβ€β™€οΈπŸ€ΈπŸΌβ€β™€οΈπŸ€ΈπŸΌβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…