dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Amani iwe juu yenu
Huu uzi kila nikiukumbuka hakika unanifikirisha sana, ni uzi wa jamaa mmoja ivi ambaye aliwaliza watu wengi kwenye forex, alikwenda Matui-Kiteto-Manyara kisha akakodi trekta afu akaelekea maeneo ya Pwani. Hakika kwa madai yake alitengeneza pesa za kutosha ndani ya mwezi mmoja.
Kuna kitu nataka nijifunze. Mwenye huo uzi naomba anisaidie.
By dimaa.