Nadhani unamaanisha uzi wa Jeff.
alikwenda matui- kiteto manyara kisha akakodi trekta
Ingia kwenye hii link 👇Kuna kitu nataka nijifunze. Mwenye huo uzi naomba anisaidie.
Hapo ndio umeharibu.aliwaliza watu wengi kwenye forex
Ahsante sanaJinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8
Salute! Nimefurahi sana kurudi tena JF baada ya kukatika kwa muda kiasi. Wengi mlinizoea kule 'Jamii Intelligence' na thread zangu za kusisimua za 'money hunters', na nilitoa ahadi ya kuwaonesha baadhi ya fursa za pesa ambazo wengi huzipuuza either kwa dharau ama kwa kutokuwa na taarifa sahihi...www.jamiiforums.com
Ina maana ontario aliishia kuwa mkulima forex aliikimbiaAmani iwe juu yenu
Huu uzi kila nikiukumbuka hakika unanifikirisha sana, ni uzi wa jamaa mmoja ivi ambaye aliwaliza watu wengi kwenye forex, alikwenda Matui-Kiteto-Manyara kisha akakodi trekta afu akaelekea maeneo ya Pwani. Hakika kwa madai yake alitengeneza pesa za kutosha ndani ya mwezi mmoja.
Kuna kitu nataka nijifunze. Mwenye huo uzi naomba anisaidie.
By dimaa.