Uzi wa ujuzi wa ODOO

Uzi wa ujuzi wa ODOO

odoo, dah umenikumbusha kitambo, navyoelewa mimi ni ERP ambayo ni open source iliyotengenezwa kwa python, hapo ni kwa kumbukumbu za faster, ila online kuna wiki yake yenye comprehensive details unaweza kucheck mkuu
 
Wakubwa nilikuw naomba kwa yeyote anayejuwa odoo ajaribu kunielewsh inavyofnya kazi
Unataka ujue nini sasa kwenye odoo coz vipengele ni vingi and nadhani kama unataka ujifunze zaidi ungeenda pale Google utakuta mabandiko ambayo tayari yameshaelezea kwa undani zaidi, ila kwa kipengele kimoja kimoja tunaweza kukusaidia hapa
 
Kabla hamja comment kwenye uzi muwe mnaangalia kwanza jukwaa uzi ulipo.
Kwa komenti ya msapinungu naweza nikakuelewa kwanini umeandika post hii. Lakini umekosea sana kumjumlisha Nyamwage na Cassnzoba kwenye jibu lako...!!! Huyu Melxcom991 mwenye uzi naye kwenye hiyo odoo kuna vitu hajui ndo anaviulizia, hao uliowajumlisha (nikiwemo mimi) hawajui chochote kuhusu hiyo odoo. Ulitakiwa uelezee tu hicho ni kitu gani. Hapa JF, kama kila mtu ataleta ujuwaji uliopo kwenye komenti yako, hakuna mtu atauliza kitu na kupata jibu la kumsaidia..!!!
 
Af
Kwa komenti ya msapinungu naweza nikakuelewa kwanini umeandika post hii. Lakini umekosea sana kumjumlisha Nyamwage na Cassnzoba kwenye jibu lako...!!! Huyu Melxcom991 mwenye uzi naye kwenye hiyo odoo kuna vitu hajui ndo anaviulizia, hao uliowajumlisha (nikiwemo mimi) hawajui chochote kuhusu hiyo odoo. Ulitakiwa uelezee tu hicho ni kitu gani. Hapa JF, kama kila mtu ataleta ujuwajuu uliopo kwenye komenti yako, hakuna mtu atauliza kitu la kupata jibu na kumsaidia..!!!
COMMENT YA MAANA KABISAAA KWA MWAKA HUU MPYA 2025
 
Back
Top Bottom