Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu yani huwa nikiaona Id yako hii ya HARUFU na yule jamaa anajiita washawasha mie huwa ni kicheko hata kama sikucheka wiki nzima huwa nasitukia nimecheka
Hii kitu hatari sana...
Hapo unaugali wa unga wa Muhongo wa kutwangwa sio wa mashine. Matonge unakuwa unayasikilizia yanapita kwenye aesofagasi tu, tubwiii