Hii ndiyo ile diet ya mauaji?[emoji12][emoji12][emoji12]
Simaria nakuita tena Simaria,nibakshie parachichi na vindizi kidogo tu najaView attachment 1897055
Late Lunch
Kuchemsha au ku-steam Mshana?Visambusa vya kuchemsha.. Ndani ni nyama ya kusaga na mbogamboga
Sato huyo[emoji39][emoji39][emoji39]
We unae mke arif?Wenye wake kuleni maziwa na karanga mtakuja kunishukuru baadae.mkiweza kutafunia na vitunguu swaumu mixer tangawizi ndo ojijoView attachment 1898165
Chakula gani hiki[emoji849]
Wakuu nauliza Hvi vikarai vinauzwaje ?View attachment 1898435
Kuanzia 15,000 kulingana na uboraWakuu nauliza Hvi vikarai vinauzwaje ?View attachment 1898435