Uzi wa vyakula tu

Habari za asubuhi wakuu.
Naomba kujuzwa wapi nawezapata/nunua "edible collagen sausage casings".
Asante, nawatakia asubuhi na majukumu mema.
 
Unaota mzeeeeew naona una ka kampeni Kako ka Dona Toka muda Dona inamadhara makubwa kuliko sembe kama unaweza elewa uelewe

Dona Ina Kansas inaayotokana na vumbi mzeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mimi naelekeza watu wale dona lenye vumbi?Maelekezo yangu ni kwamba watu waandae mahindi yao nyumbani vizuri ikiwa ni pamoja na kuyaosha kwa maji safi halafu wakayasage wao wenyewe.Kitu kizuri ni gharama.
 
Kujifunza kunywa maziwa huku unakula sembe ni sawa na kujifunza kuvaa nguo safi huku hutaki kuoga na hutaki kabisa kusikia juu ya maji![emoji1782][emoji1782][emoji1782]
Unanisimanga Kuna jirani yangu jana ameniahidi kunifundisha ule ugali wako unaoupenda.

Anachanganya mhongo,mtama,mahindi.
Alinionjesha , akasema nisisage tena sembe[emoji23]..na mm nina sembe la kutosha [emoji38]
 
Kwani mimi naelekeza watu wale dona lenye vumbi?Maelekezo yangu ni kwamba watu waandae mahindi yao nyumbani vizuri ikiwa ni pamoja na kuyaosha kwa maji safi halafu wakayasage wao wenyewe.Kitu kizuri ni gharama.

nishazoea kufanya hivi sinunuagi Sembe dukani, tabu nikienda ugenini huwa naona nakula ugali tofauti kabisa
 
Unanisimanga Kuna jirani yangu jana ameniahidi kunifundisha ule ugali wako unaoupenda.

Anachanganya mhongo,mtama,mahindi.
Alinionjesha , akasema nisisage tena sembe[emoji23]..na mm nina sembe la kutosha [emoji38]
Hilo sembe lako la kutosha kalimwage halafu ungana na huyo jirani yako.Ukilimwaga hilo Sembe lako la kutosha utapata faida kuliko hasara,niamini mimi😍😍😍
 
Hilo sembe lako la kutosha kalimwage halafu ungana na huyo jirani yako.Ukilimwaga hilo Sembe lako la kutosha utapata faida kuliko hasara,niamini mimi[emoji7][emoji7][emoji7]
Namwaga unga mifuko miwili[emoji38]
Acha utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…