Hizi mbili nimezikubali sana..very simple menu. [emoji39] [emoji39]
Sio Mimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajikataa
Hatutakucheka we maliza tu chote [emoji28]Sio Mimi
Jaman....we leo huli?Hatutakucheka we maliza tu chote [emoji28]
Mmh[emoji4]
Nipo samaki samaki nasubiria bruce lee niende taifa kushangilia yanga
Mchicha jaman[emoji39]
Naona unapata pilau chukuchuku. .[emoji39]
Jamani uko wapiNachurali
Ndio mana unazidi kuwa kibonge
AhahahhaSio Mimi
Duh[emoji6][emoji6]
Vipiiiiii