(B)
Angel NylonFood lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Angel NylonNamimi nasubiria majibu mkuu
Nini mbaya kwani?Ban ya siku saba kila baada ya siku mbili![emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1948981
Asante mkuu mshana.
Jamani bado nasubiri majibu, Ninaugeni weekend hii.Food lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Yupo vzrMAZA wangu anatafuna hivyo vibichi, yaani Kitunguu kama kilivyo anakimenya maganda na kuanza kukitafuna
Sawa ntajitahidUkishaondoa yale maji yake umeharibu kila kitu.Vitunguu maji,vitunguu swaumu pamoja na tangawizi ni miongoni mwa vyakula bora vya muda wote hapa duniani.
Jifunze kula vitu hivi vikiwa vibichi kisha utanishukuru bila shuruti.
View attachment 1939681