Uzi wa vyakula tu

Ooh Asante sana niliwahi pata matokeo mazuri mara moja tu, ila zilizobaki nimeishia kumwaga maziwa huku roho inauma....Kwa hatua ya kwanza kuyachachusha ni muhimu maziwa yafunikwe.?
 
Ooh Asante sana niliwahi pata matokeo mazuri mara moja tu, ila zilizobaki nimeishia kumwaga maziwa huku roho inauma....Kwa hatua ya kwanza kuyachachusha ni muhimu maziwa yafunikwe.?
Sio lazima ila yawe sehemu safi ambayo wadudu hawawezi kuingia na vumbi, na wingi au uchache wa chachu unategemea room temperature, kama pana joto sana unaweka kidogo, kama pana baridi unaongeza chachu.
 
Una roho nzuri sana mkuu wa kutoa msaada wa recipe kama mtu akikuomba endelea na moyo huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…