Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Pole kwa kichapo mkuu...
Nipo samaki samaki nasubiria bruce lee niende taifa kushangilia yanga
Hata panzi wa kuchomaNilipiga dash nilikua pori hamna msosi
Hapo kama sio shule basi ni kwenye shughuli [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dinner [emoji899]
Huko maji tu labda na matunda ya kuotea otea [emoji28] [emoji28]Hata panzi wa kuchoma
Ungetushilikisha japo hayo hayoHuko maji tu labda na matunda ya kuotea otea [emoji28] [emoji28]
UsijaliUngetushilikisha japo hayo hayo
Yeyeyeyeyeeeee....hapa mm jamani[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji6][emoji6]
Uliechoma hizi chapati naomba kujua unapatikana wapi? Au zinapatikana wapi mana huu utaalam nime upenda.[emoji39] [emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Yummy!
Hivi ulinambia kwako ndio wapi vile?[emoji39][emoji39]Nahisi utanifukuza, maana deile nitakuwepo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
Uliechoma hizi chapati naomba kujua unapatikana wapi? Au zinapatikana wapi mana huu utaalam nime upenda.[emoji39] [emoji39]
Hivi ulinambia kwako ndio wapi vile?[emoji39][emoji39]Nahisi utanifukuza, maana deile nitakuwepo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
[emoji362] [emoji212] okTabata moja..karibu [emoji12]
Nishawahi kupasikia nielekeze tu nitafika. .[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo Sithole country
Wanaume wa Dar bwana, halafu hapa watakuja kulalamika kuwa pumbu zimekufa na hawana tena nguvu za kiume. Zingatieni ulaji jamani.
Mambo ya minadani[emoji39] [emoji39]
Kitunguu saumu ndimu na asali mbichi