Chakula bora hiki mkuuπππ
Lishe imetulia
Dah na ugali upo hapo? Pilipili na na ndimu mkuu
Duh, mwana umesema kweliSijawahi kuchoka Vishomboshombo.
Sio mchezo, tumbo lazima lituliePasi ndefuView attachment 1965184
Mixer ya aina yake
Nyanya Chungu, Boga, Samaki, Mchicha, Karoti, Nyanya, Kitunguu Maji.
Siwezi kukinai hata iwe ni Mlo wangu wa kila siku.
Umekosea kimoja. Chekundu hapo sio nyanya ni red bell pepper (hoho jekundu) na pia kuna green beans na bamia.Nyanya Chungu, Boga, Samaki, Mchicha, Karoti, Nyanya, Kitunguu Maji.
Huu mchanganyiko wa kuchemsha ni Faida tupu, hakuna hasara hapo
Hayo mafuta tu nayaogopa asee
πππ e bana hapo mmoja wenu lazima amfate kwao hawezi kutufanyia hiviTunafanyaje..ebu mpigie cmView attachment 1966224
Hapo hatulaumiani, lete chai ya rangi tu alafu fata mrejesho badae
Naona umehamia kwa wapopo, akiingia chooni baada ya hapo inabidi kutafuta ukimbizi kwa muda