Hatua kwa hatua, safi sana
Samaki, Mihogo ya kuchemsha, Pweza, Kisamvu. Uroho wa ghafla umenikamata.
Naipataje hii kwa dar?Hiyo JUISI ni nzuri sana ila tatizo lake ni moja tu, kila ukienda haja ndogo, haja ndogo inatoka rangi ya Beetroot. Na mbaya zaidi inakuchukua hadi siku mbili haja ndogo kurudi kwenye rangi yake ya kawaida.
JUISI hii imenishinda hapo tu.
Naomba maandalizii yake
Mkuu umepika mwenyewe?
Sasa hii menu yote utamaliza peke yako?.N8meitamani hii menyu
Mshana hivi niweke viungo gani kwenye mishikaki iwe mitamu.
Mahunga na madibili
Kwa kweli sifahamu MDAU.Naipataje hii kwa dar?