ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Siyo gizani mkuu.Alaf saint nmekuvumilia nmechoka! Kwa nn unakula gizani!?
Bila shaka ni Ndizi hizi, sio viazi
@HARUFU Agiza nikutumie mihogo mikavu au unga wa mhogo kutoka "mkoani".Nimeutamani sana Ugali wa Muhogo, ni miaka mingi imepita sijautia mdomoni.
Mambo ya Braai! [emoji1474][emoji1474][emoji1474]