Hapo kwenye bold ndio mimi huyo chief!Kuna member wakongwe wa huu uzi enzi za mwanzo mwanzo kabisa babulakibaha na Alibakari sijui ndio huyu safuher sijawaona mda sana hapa
Ahsante sana Kiongozi, itabidi nifanye hivyo.@HARUFU Agiza nikutumie mihogo mikavu au unga wa mhogo kutoka "mkoani".
Umeeleweka kwa herufi kubwa 🙂
Uko Arusha Simara maana rangi ya hilo boflo inanikumbusha ni huko tu linapatikana
Uko Arusha Simara maana rangi ya hilo boflo inanikumbusha ni huko tu linapatikana