Ahsante, mimi nilitoka kapa nikawa najiuliza kitu gani hiki!, ikabidi nijinyamazie nisiulize nikaja kuonekana mshamba 🤣🤣🤣🤣🤣Asali
Ni nini hii mkuu!?matikiti festival 😂😂
Kuijua hiyo ni hadi uwe ulikulia kijijini.Ahsante, mimi nilitoka kapa nikawa najiuliza kitu gani hiki!, ikabidi nijinyamazie nisiulize nikaja kuonekana mshamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi sasa mama yangu hupika kande kwenye chungu.Home is best..View attachment 2013758
Nikiangalia picha zako bila ule mkono nahisi kama hazijakamilika!
Flying termites(mchwa wanaoruka)* Nje ya mada*
Jamani naomba kujua kumbikumbi wanaitwaje kwa kiingereza.
The water. Unywe ya moto sio yabaridi dear.
Asante sana mr.Flying termites(mchwa wanaoruka)