Chai jaba ndio ipi hapo?
😄😄😄 Nilikuwa nimesahau....ngoja nianze kuzingatia😜Nikiangalia picha zako bila ule mkono nahisi kama hazijakamilika!
Huwa hayanikati kiu 🥴The water. Unywe ya moto sio yabaridi dear.
Haswaa!Kinyumbani zaidi, jamani.
Napenda chapatiChai hainyweki siku hiziView attachment 2015048
Kwa kweliMzuzu ziongezewe ulinzi
View attachment 2013055
Imetulia sana hiyo kitu
Afya tupu yaaniMuhogo laini wa kuiva.
Dah sasa hiyo pilipili pembeni ndo kabisa, ni menu nzuri hasaa
Mambo vipi lakini? Uko poa![emoji1][emoji1][emoji1] Nilikuwa nimesahau....ngoja nianze kuzingatia[emoji12]
Wakubwa mnafaidi vinono
Hata sasa wengine tunayoMeko ya nyakati zetuView attachment 2016166