Kiasili zaidi. Umenikumbusha mbali
Mkuu mie hapo ugali mkubwa pilipili na kandim tu.
Hii ni Viagra tosha
Cc Mtumaini Mungu diko hili liweke kwenye ile meals balance schedule yetu [emoji8]
Nyama haipo? Ubatili[emoji23]Vyakula bora vya muda wote.
View attachment 2016602
😄😄😄Hivo vitunguu swaumu,vitunguu maji na tangawizi vinapaswa kuliwa vikiwa vibichi.Nyama haipo? Ubatili[emoji23]
Hilo soursop ndo stafeli mkuu??Vyakula bora vya muda wote.
View attachment 2016602
Ndiyo mkuuHilo soursop ndo stafeli mkuu??
Ugali wa Muhogo kwa Chukuchuku ndiyo Mboga yake, mbona udenda unanichuruzika hapa yaani nimetoa Ulimi kama Mbwa.