Kabisa yaaniHali ya hewa inaruhusu [emoji39]View attachment 2043025
Mihogo ya nazi yani mi tangu ramadhan iishe sjaila umenikumbusha
TasiAnaitwa nani huyu Samaki?
Huwa najisikia vibaya sana nikiona chakula cha mtu mzima kikiwa kidogo kama cha mtoto mchanga😳😳😳
AnavutiaTasi
Kumbe we ni mpishi
Mtamu piaAnavutia