Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Umenitamanisha
Natumaini hii ni starter, main course inafuatia baadae
Ukifanikiwa kutoa hicho kitu cheusi hapo kushoto basi itakuwa good sana.Karibuni wakuu.View attachment 2097298
Imekuwaje jumapili ya leo hujala pilau?
Hicho chakula cha jana ..Imekuwaje jumapili ya leo hujala pilau?
Tumekupata mubashara baba matunda😂
Acha kula chips. Hicho kitambi unataka kuendelea kukiongeza tu sio?Hicho chakula cha jana ..
Hata hivyo leo sijapika pilau ,nilimiss ugali
..najisikia kula zege usiku.
Matunda muhimu sana. Usiache kula tunda lolote katika kila mlo.Tumekupata mubashara baba matunda😂
Asante kwa ushauri Mkuu.Ukifanikiwa kutoa hicho kitu cheusi hapo kushoto basi itakuwa good sana.
Ndiyo😂Acha kula chips. Hicho kitambi unataka kuendelea kukiongeza tu sio?