Kitambi cha kumwagika in the making..
Kwendaa[emoji16][emoji16]Ukifanikiwa kutoa hicho kitu cheusi hapo kushoto basi itakuwa good sana.
Nawewe ni addict wa soda sio? Kunywa wine sister.Kwendaa[emoji16][emoji16]
Hapana sinywi pombeNawewe ni addict wa soda sio? Kunywa wine sister.
Ni jambo jema sana sasa kama pombe hunywi nakushauri pia usinywe soda.Hapana sinywi pombe
Soda siwezi acha mdogo wangu labda nikose hela ya kununuliaNi jambo jema sana sasa kama pombe hunywi nakushauri pia usinywe soda.
Mimi huwa nakunywa sometimes pombe ila soda no.
Sawa dada. Enjoy while you can.Soda siwezi acha mdogo wangu labda nikose hela ya kununulia
SawaSawa dada. Enjoy while you can.
Bila shaka nyama pori
Unakula hivi, utapata nguvu za kike kweli...[emoji23]
Kama ni zile za kutafitia hela, zipo tele 🙂Unakula hivi, utapata nguvu za kike kweli...[emoji23]
Haha sikupingi...[emoji119]Kama ni zile za kutafitia hela, zipo tele [emoji846]