Utumbo na chinese ulioungwa nazi mtamu huoooView attachment 2128455
Utumbo Chaines
Haya ndo mambo yangu
Safi sana mama anapikichaTusiwasahau na wapishiView attachment 2129158
Duh! Si utani
Aisee maudenda yanani mwagika
Kama kwa wavimba macho ninayoijua ni ile wanayochanganya na Maji wanaweka kwenye chupa kisha wanakunywa kidogo kidogo, Maji yakiisha yanajazwa tena.Hahahaha IPO sana kwa wavimba macho mbona
Ile Mug yetu nyekundu leo imepotelea wapi?πππ