Kwa uvivu wa kujifunza mapishiSiku hizi wengi hawawezi[emoji17]
Ndo naiona muda huu,mbona ningeahirisha kula matunda mkuu Iam Groot
RWANTANG ulichokifanya ni sahihi. Tule matunda tena tule sana.Ndo naiona muda huu,mbona ningeahirisha kula matunda mkuu Iam Groot