Right here 🙂🙂Ile Mug yetu nyekundu leo imepotelea wapi?🙂🙂🙂
Tembeleee hilooo! Mate yananitoka kwa mboga hiyo mkuu
Mdau hayo Matembele huwezi elewa jinsi unavyonitesa
Tupo wengi, na mimi nanyoosha kidole hapaTembeleee hilooo! Mate yananitoka kwa mboga hiyo mkuu