Huu ndo wali maharage sasa..View attachment 2134222Wali Nazi. Harage Nazi.
huo mmea tunauita MCHUNGA ni chakula cha sungura huku kwetuView attachment 2133725Ikiwa mbichi shambani huwa hivi.View attachment 2133726Ikiwa imepikwa na kichanganywa na samaki huwa hiviView attachment 2133727
We Harufu wee mbona kama ni mwendokasi nakautumbo kwa mbaaaliii
Hapana, ni Mboga mboga na MacaroniWe Harufu wee mbona kama ni mwendokasi nakautumbo kwa mbaaaliii