Sawa mkuuHapana, ni Mboga mboga na Macaroni
Hii kweli mboga saba.Pilau mboga saba bei kitongaView attachment 2135787
Njoo tukupikie siye wa Tanga na Nigeria hutauhisi huo uchungu mkuuMchunga ni Mboga nzuri sana, tatizo ule uchungu hata ikolee Nazi
Kwa uroho wa saladi nimelazimika kuzuia udenda kwa tishuu
Daaah, maisha haya.Pilau mboga saba bei kitongaView attachment 2135787
Hivi viazi vinawafaa walevi, viwe na nyama nyingii roast ya viazi nyama, pilipili
Walevi tena mkuu? Si watashinda karibu ya milango ya misalani??Hivi viazi vinawafaa walevi, viwe na nyama nyingii roast ya viazi nyama, pilipili