Hilo bondo ulimaliza mami lolo au mlilipiga mande?hapo mtu hata 10 mnaondoka safi tu.Mkuje tuleView attachment 2157130
Hapo juice fanta orange ataomba poo😋View attachment 2157925
Kambi popote....
Instructor kaniambia niache kula red meet, ndio nimeagana nayo leo.....😞😞
Natumai vita nitaiweza na kuishinda...😊.
Uzuri wa hii kitu uwe umetoka church unagonga hiyo inateremka swaafi ukitoka apo masanga waala hayana kokoro na wewe.[emoji56][emoji56]View attachment 2160769
Kaugali kadogo hivo[emoji3][emoji3][emoji3]nilkula mwenyewe yani.Hilo bondo ulimaliza mami lolo au mlilipiga mande?hapo mtu hata 10 mnaondoka safi tu.
Km ulimaliza mwenyewe heshima kwa mzee kutuzalia chema[emoji109][emoji4].
Jamii nzima tunayatamani Maandazi yako