mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tamu sana.
Mimi siku hizi meno yananisumbua, siwezi kutafuna sana.
Yaani acha tuHayo meno yawahi dawa.
Meno yanauma vibayaa
Unahitaji maombi
🤣🤣🤣🤣 Ili nipunguze zaidi eti ehhhh 🤓Unahitaji maombi
Utakufaaa...inahitaji ule zaidi wee mevhi ya sita kwa sita itakushinda.🤣🤣🤣🤣 Ili nipunguze zaidi eti ehhhh 🤓
Ugali mdogo sana
Hv ukimchoma hivyo anaiva vzr kweli au unamkausha tu?