Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kesho nipike kisamvu
Mchemsho wa nyama ya Mbuzinini hiki kimechakazwa hivi,ingekua mbususu tungesema rait off
Ni chura hawahawa tunapishana nao mtaani au wale wa baharini tuu?Tamu kuliko utamu wenyewe
Iilainavutia sana nataman siku moja nile
Tunatesana mjue.
Haka ka table matt nakaona mara kwa mara. Hakika unaupiga mwingi.
Wee n kama mdudu![emoji16]Ukianza hutoacha