Hatari sana[emoji91]
Napenda sana supu kula na ugali, nyama ikiungwa siwezi kula na ugali
Mimi siku hizi napenda michemsho,ama sivyo niikaushe na mafuta.Napenda sana supu kula na ugali, nyama ikiungwa siwezi kula na ugali
Fried rice ya kuku...
Wamekutia presha bila kupenda umebadilisha Sahani 🤣🤣🤣🤣🤣
Wamekutia presha bila kupenda umebadilisha Sahani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]