Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,802
Niwe modo mara ngapi shangazi?🤣Mzee mwenzangu unataka uwe modo[emoji2][emoji2]
😂😂😂😂😂Wamekutia presha bila kupenda umebadilisha Sahani 🤣🤣🤣🤣🤣
Huoni magimbi yapo mawili tu kwenye sahani!Duh!!!"Mama" anadanganya kuwa maisha ni magumu🚶🚶🚶
Niwe modo mara ngapi shangazi?[emoji1787]
Mimi ni kembamba
cha sister kile😂Aahh wee..
Sio kwa kile .....cha muheshimiwa[emoji2][emoji2]
Jamani ndege John tutajuta nini?
Kwani twashindana?Tuonyeshe mapishi yako
Mbona umetuwekea status hadi namba ya simu?Pilipili nyingiiiView attachment 2219903