Kiongozi siku hizi sikuelewi elewi ujue.
Kiongozi usiogope, Mpishi kasema leo tubadilishe ratiba kwahiyo hakutopikwa Fried RiceNitaingia huku kwa machale sana.. Nitaingia nikiwa nimeshiba[emoji2]
Hapa umenikamata haswa, huu Mlo wa haja.
Naomba mwaliko wa kushambulia hiyo meza[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Delicious View attachment 2230765