Hivi ni nn?vitumbua au chapati?
CC: Angel Nylon [emoji7]Kiongozi.
Shemeji yangu usimuache.
Siyo kwa Misosi hiyo, Ubao wa ghafla umenikamata baada ya kuona Misosi aliyokorofisha Shemeji yangu
I can never imagine the taste of cashewnuts cooked as stew 🥲 I like them dry and crunchy
Duh kumbe kuna cookies za aina nyingi jmn!.Cookies
Safi sana,ingependeza zaid ukafungua darasa online ,Kwa hiyo style ya kutumia jiko la mkaa ni wachache sana Wana weza legendary kama nyie.View attachment 2255715View attachment 2255734View attachment 2255735
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji4]Safi sana,ingependeza zaid ukafungua darasa online ,Kwa hiyo style ya kutumia jiko la mkaa ni wachache sana Wana weza legendary kama nyie.
Nikija daresalamu nitakununulia ovena mama yangu ,ctaki uteseke mama 😀[emoji4]
Mkuu,watu wengi tu wasio na Oven wanajua.
Ni kama tu skonzi linavyookwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23]Nikija daresalamu nitakununulia ovena mama yangu ,ctaki uteseke mama [emoji3]
Majuzi nilitumia mkaa, kilichonikuta aloooo!!!. Sitaki hata kusimulia[emoji847]View attachment 2255715View attachment 2255734View attachment 2255735
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majuzi nilitumia mkaa, kilichonikuta aloooo!!!. Sitaki hata kusimulia
Dada wewe utakua umesoma cookery sio bure [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji847]View attachment 2255715View attachment 2255734View attachment 2255735
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nahisi nilizidisha moto wa chini. Maana ilitoka chini imeungua kama mkaa 🤣. Ila juu Sasa nzurii. Hadi birthday ya mwanangu ikaharibika, Kwa kujifanya ujuaji. Ningeenda nunua hata yasingenitokea 😅🙆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulizidisha moto???
Ni ngumu kukadiria moto wa chini..ila wa juu ni rahisi maana unachungulia tu,na una adjust upendavyo.