martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Kisamvu kimechanganywa na Mbaazi, Kachumbari na Mihogo.
Atari mkuu Jana asubui hiyooKisamvu kimechanganywa na Mbaazi, Kachumbari na Mihogo.
Mimi tamani sana.
Jamani
Chai yako ilikuwa nzito sana.Atari mkuu Jana asubui hiyoo
Asante Sana [emoji16][emoji16] mkuu napenda Sana kisamvuChai yako ilikuwa nzito sana.
Umenitamanisha ujue, siri ya Kisamvu cha kulala ladha inaongezeka.
Safi sana Kiongozi