Watu hawataki kula karanga hapa nyumbani [emoji16]Asante sana dada[emoji39]
Unafaa sana
Mie mlevi wa juice, ninyime hata msosi
Karibu mshanaDina Naomba mwaliko rafiki
Ila mim wali jamani utaniua nisipokula wali siku mbili nyingi nimoo 😂
Wapenda kastadi