Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kesho nipike
Unamshauri mwenzako ajiweke kwenye tahadhari ya kupata kitambi 😅😅
Tomato supendi
Kwa mwezi mara moja sio mbaya
Tomato huwa naweka kidogo tu.Enjoy mwaya. Mi pilipili situmii ila tomato [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata nifululize zege sijui kwanini huwa sipati kitambi.Unamshauri mwenzako ajiweke kwenye tahadhari ya kupata kitambi [emoji28][emoji28]
Mafuta yanabaki mwilini kwa ndani,kwahyo moyo utajaa mafuta 😅Yaani hata nifululize zege sijui kwanini huwa sipati kitambi.