[emoji95]Huondoa Homa Baridi(chilla)
[emoji95]Hutibu Saratani Ya Tezi Dume.
-Tangawizi Huua Enzyme ya 5-LO Ambayo Huwa ni Chakula Cha Seli za Kansa ya Tezi Dume na Kupelekea seli za Kansa Kufa
[emoji95]Husaidia Kuzuia Shambulio la Moyo
[emoji95]Hushusha Kolestero(cholesterol)
[emoji95]Hutibu Shindikizi la Juu la damu(hypertension)
[emoji95]Husafisha Damu
[emoji95]Huzuia Damu Kuganda
[emoji95]Huongeza Msukumo wa Damu
[emoji95]Husaidia Kuzuia na Kutibu Kansa ya Titi
[emoji95]Husaidia Kutibu Kansa ya Mapafu
[emoji95]Hutibu kansa ya Kizazi na Kwenye mirija Ya Kizazi
[emoji95]Huzuia Kujizalisha Kwa Bakteria Anayesababisha Madonda ya Tumbo
[emoji95]Ni Dawa Nzuri Kwa Kansa Ya Damu
[emoji95]Huzuia Kuongezeka Kwa Seli za Kansa ya Kongosho
[emoji95]Huondoa Gesi Tumboni Kiurahisi na Kwa Haraka Zaidi
[emoji95]Ni Dawa Nzuri Kwa Kuondoa Hangover na Uchovu
[emoji95] Husaidia Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula
[emoji95]Huondoa na Kunguza Msituko kwenye Utumbo Mpana[emoji95]