Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Yaani kama umeniona vile, penda sana ndizi utumbo
Ndio ni halfcake mkuuKiongozi, hizi sio hafukeki?
umekosea wapi mbona ni kawaidaKuna mtu anajua kutengeneza juice iliyo na mchanganyiko wa parachichi na maziwa
Maana nilivyotengeneza mm jana ni kituko nahisi ni sumu nimemwaga yote
umekosea wapi mbona ni kawaida
Pole sana mkuu, mi najua kutengeza smoothie tu ya parachichi na maziwa, lakini pia unaweza kuweka na zabibu kavu ukipenda.[emoji1474]Kuna mtu anajua kutengeneza juice iliyo na mchanganyiko wa parachichi na maziwa
Maana nilivyotengeneza mm jana ni kituko nahisi ni sumu nimemwaga yote
Chai yake nzitoMlo kamili
Na january hii hongera