Unapatia wapi strawberry? Si Upo mwanza?Kazi ya mikono yangu...Fresh apple juice and yummy strawberry smoothie...KumbukiziView attachment 2494127View attachment 2494128
Tamuu. Una uza auKazi ya mikono yangu...Fresh apple juice and yummy strawberry smoothie...KumbukiziView attachment 2494127View attachment 2494128
Kichwa Cha samak sio kizur kula. Kina leta majini[emoji3512]
Kichwa Cha samak sio kizur kula. Kina leta majini
Chakula kidogo hicho. SishibiNimetoka kibaruani nikaamua nipike chap chap wali kidogo na nyama ya mbuzi mixer my favourite kachumbariView attachment 2494120
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja yakupate ndo utajuaKwa hiyo nikutupe weee siwezii
Hakuna kitu kama hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja yakupate ndo utajua
Hapana nipo Dar kwa sasa. Strawberry nazipata toka Njombe mama yangu ananiagiziaga tuna bustani huko.Unapatia wapi strawberry? Si Upo mwanza?
Hapana mkuu nilikuwa na kasehemu ka kuuza fresh juice ila nimesimama kwa muda. Sema ukihitaji juice nyingi kwa oda nakutengenezea bila shida.Tamuu. Una uza au
SawaHapana nipo Dar kwa sasa. Strawberry nazipata toka Njombe mama yangu ananiagiziaga tuna bustani huko.
Chakula kidogo hicho. Sishibi
Kazi ya mikono yangu...Fresh apple juice and yummy strawberry smoothie...KumbukiziView attachment 2494127View attachment 2494128
Usikose kutupia pishi lako hapa kijiweniMitajaribu weekend. Nime taman
Askari unashiba kweli hiki??Nimetoka kibaruani nikaamua nipike chap chap wali kidogo na nyama ya mbuzi mixer my favourite kachumbariView attachment 2494120