Mara moja moja sio mbaya kwa mwezi mara moja kiafya
makaveli10Aisee ivi nani anamkumbuka ndugu yetu mmoja hivi jina limenitoka humu humu kwenye huu uzi alitualika alifungua restaurant yake pale k/koo au ndo bwana HARUFU imebadili Id
Nipo ndugu yangu
Niambie chief.Aisee ivi nani anamkumbuka ndugu yetu mmoja hivi jina limenitoka humu humu kwenye huu uzi alitualika alifungua restaurant yake pale k/koo au ndo bwana HARUFU imebadili Id
Kitamu hata kwa macho
Yes kabsa safii hv ndio maana halisi ya kula mlo kamili...nikioa ntakua napikiwa hv