Niambie chief.
UtotoView attachment 2496975
Nimekulipa mkuu
Dah.. Kaka pale kuna fitna zilipita nikapafunga, sipo tena. Nahisi kuna mtu alizunguruka kwa mwenye eneo lake.Sijui restaurant yake bado ipo nikapige menyu siku moja
Mie nina degree ya kuonja misosi..Trials
Soon nitafungua bakery
Karibu [emoji38]Mie nina degree ya kuonja misosi..
Nitakuja kuuwa tester wako.... Kwa wewe nitafanya bure tu [emoji23] [emoji1787]